Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business

Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business
FASTLINK AGRI-BUSINESS
Shughuli za Kusaga Nafaka — Kigoma, Tanzania
NAFASI ZA KAZI
MFANYA USAFI (Nafasi 2)
Kituo cha Kazi: Kigoma
Sifa: Awe na afya njema na mwenye kujali usafi
MAJUKUMU MAKUU
- Kusafisha eneo la kusaga nafaka, ofisi, maghala na vyoo kila siku.
- Kutunza sakafu, maeneo yanayozunguka mashine na sehemu za kazi ziwe safi bila vumbi na uchafu.
- Kukusanya na kutupa taka kwa njia sahihi.
- Kuhakikisha kiwango cha juu cha usafi kinatunzwa katika eneo lote la kazi. ● Kutoa taarifa ya mahitaji ya usafi au upungufu wa vifaa vya usafi.
- Kufuata sheria zote za afya na usalama wakati wa kazi.
- Kufanya kazi nyingine zozote za usafi kama atakavyoelekezwa na msimamizi.
MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: 16 Septemba, 2026
Jinsi ya Kutuma Maombi
Waombaji wenye nia na sifa wanaombwa kuwasilisha barua ya maombi pamoja na wasifu (CV) wenye maelezo ya kina na nakala za vyeti husika. Maombi yanaweza kutumwa kwa barua pepe au kufikishwa/kutumwa moja kwa moja kwenye anwani ifuatayo. Wafanya Usafi (3 Positions)
Tuma kwa:
Email: [email protected]
Fastlink Safaris & Tours Ltd
Lumumba Road
P.O. Box 750
Kigoma – Tanzania
Kumbuka: Waombaji waliochaguliwa pekee ndio tutakaowasiliana nao. Fastlink Agri-Business ni mwajiri anayetoa fursa sawa kwa wote.

