Advert enquiry : [email protected]

Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business

Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business

Wafanya Usafi (3 Positions) at Fastlink Agri Business

FASTLINK AGRI-BUSINESS 

Shughuli za Kusaga Nafaka — Kigoma, Tanzania 

NAFASI ZA KAZI 

MFANYA USAFI (Nafasi 2) 

Kituo cha Kazi: Kigoma 

Sifa: Awe na afya njema na mwenye kujali usafi 

MAJUKUMU MAKUU 

  • Kusafisha eneo la kusaga nafaka, ofisi, maghala na vyoo kila siku. 
  • Kutunza sakafu, maeneo yanayozunguka mashine na sehemu za kazi ziwe safi bila vumbi na  uchafu. 
  • Kukusanya na kutupa taka kwa njia sahihi. 
  • Kuhakikisha kiwango cha juu cha usafi kinatunzwa katika eneo lote la kazi. Kutoa taarifa ya mahitaji ya usafi au upungufu wa vifaa vya usafi. 
  • Kufuata sheria zote za afya na usalama wakati wa kazi. 
  • Kufanya kazi nyingine zozote za usafi kama atakavyoelekezwa na msimamizi. 

MWISHO WA KUTUMA MAOMBI: 16 Septemba, 2026 

Jinsi ya Kutuma Maombi 

Waombaji wenye nia na sifa wanaombwa kuwasilisha barua ya maombi pamoja na wasifu (CV)  wenye maelezo ya kina na nakala za vyeti husika. Maombi yanaweza kutumwa kwa barua pepe au  kufikishwa/kutumwa moja kwa moja kwenye anwani ifuatayo. Wafanya Usafi (3 Positions)

Tuma kwa: 

Email: [email protected] 

Fastlink Safaris & Tours Ltd 

Lumumba Road 

P.O. Box 750 

Kigoma – Tanzania 

Kumbuka: Waombaji waliochaguliwa pekee ndio tutakaowasiliana nao. Fastlink Agri-Business ni mwajiri  anayetoa fursa sawa kwa wote.

Apply for this job

 JOB SCAM ALERT Never Pay to Get a Job. Legitimate Companies don’t Ask for Money, Job Openings with requests for Payment or Fees Should be Treated with Extreme Caution. Ajira Yako is not responsible for monies paid to Scammers.

Search Job Here

AJIRA YAKO Connecting Tanzania’s Talent with Tomorrow’s Opportunities — ajirayako.co.tz effortlessly bridges the gap between top job seekers and leading employers nationwide to make hiring faster, smarter, and easier